February 2014 - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, February 27, 2014

Taswira ya Rais kikwete akizindua mtambo wa Kuhakiki takwimu za Mawasiliano Nchini.

Kala Jeremiah aelezea matokeo mabaya ya kuibiwa page ya Facebook, ni baada ya wezi kuitumia ili kumgombanisha Diamond na Ali Kiba.

Azam FC sasa warudi kileleni mwa Ligi kuu Vodacom Tanzania bara wakiifunga Ashanti United 4-0.

Cheki Matokeo yote ya mechi za kwanza 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya,Chelsea FC akitoa sare na Real Madrid CF akishinda 6.

Matokeo ya Oparesheni za Jeshi la Polisi mkoani Kagera katika picha.

Madiwani wanane Bukoba wagonga mwamba kortini.

SOMA:- Waraka wa Katiba wa CCM hadharani.

Soma namna ambavyo Wasanii Diamond,Ally Kiba na Kala Jeremiah wanavyojibizana mitandaoni.

Sunday, February 23, 2014

Simba SC yafumuliwa 3-2 huku Azam FC ikikamatwa kwa sare ya 2-2 na Prisons katika Ligi kuu Vodacoma Tanzania bara.

Taswira ya Ajali iliyoua Dereva wa Lori la Mafuta leo Eneo la Mikese mkoani Morogoro.

Haya ndio Majina ya Wasichana na Wavulana 10 bora Tanzania katika Matokeo ya Kidato cha nne 2013.

Tazama Goli la Dakika za Majeruhi kwa Chelsea,Arsenal ,Manchester City na United wakishinda mechi zao za Ligi Kuu Uingereza huku FC Barcelona wakichapwa 3-1 na kuwabakisha Real Madrid kileleni mwa Ligi ya Hispania.

Hivi ndivyo Yanga SC ilivyofumua 7-0 na kurejea kileleni mwa Ligi Kuu Vodacom huku Mbeya City ikichapwa 2-0.

Saturday, February 22, 2014

Tazama Picha za Ujenzi wa daraja jipya la rusumo ambalo ni kiungo kati ya Tanzania na Rwanda ulipofikia sasa.

Angalia Picha za Unyama unaotendeka Afrika ya Kati huku Ghasia za kidini zaongezeka.

Cheki Matokeo ya Kidato cha nne 2013 kwa Shule ya Kasulu,Mwilavya na Murubona za wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma.

Huu ndio Ufaulu wa Matokeo ya Kidato cha nne 2013 kwa Shule ya Baramba Girls,Rusumo na Rulenge Sekondari wilayani Ngara mkoani Kagera.

Tazama ufaulu wa Matokeo ya Kidato cha nne 2013 kwa Shule za Malagarasi,Mount Chanza,Kakangaga Muslim,Boni Consili na Kakonko Sekondari wilayani Kibondo mkoani Kigoma.

Tuesday, February 18, 2014

SOMA:-Vigogo 6 wa CCM waliohojiwa (Lowassa, Ngeleja, Membe, Wasira, Januari, Sumaye) wamepewa karipio na onyo kali!

Serikali yatangaza nafasi kila halmshauri nchini kuna nafasi za kazi 517,changamka..''

Tazama Mchawi wa Ungo akidondoka na kugeuka Kuku.

Cheki mafunzo ya ukocha ,uamuzi na uongozi katika mchezo wa mpira wa wavu mkoani Kagera yakifanyika wilayani Ngara.

Mikakati Bunge la Katiba: CCM ‘yakomalia’ serikali mbili [VIDEO]

Wewe Dereva unapokuja wilaya ya Ngara mkoani Kagera ,ukitumia barabara ya Isaka-Ngara-Burundi mteremko wa K9 ni muhimu kuchukua tahadhari.

Dimbwi hili la maji hutoka barabara kuu itokayo Rwanda katikati ya mji wa Benaco na kusambaa mitaani……..?

Monday, February 17, 2014

Hekaheka yaanza Ulaya ni UEFA:-Jumanne ni Manchester Cityv/s FC Barcelona huku Jumatano Arsenal FC v/s Bayern Munich.

Chadema yatishia kususia Bunge la Katiba mpya.

Soka Ulaya 2013/2014:- Real Madrid waungana na Barcelona na Atlético Madrid kileleni mwa La Liga huku Mabingwa wa Italia, Juventus, wakiendela kuchanja mbuga kileleni mwa Serie A.

Arsenal yaifumua Liverpool 2-1 na kutinga Robo Fainali ya FA sasa kucheza na Everton.

Azam FC yatupwa nje Kombe la Shirikisho na Ferroviario de Beira huku KMKM nayo ikishindwa kuendelea Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

Post Bottom Ad