Soma namna ambavyo Wasanii Diamond,Ally Kiba na Kala Jeremiah wanavyojibizana mitandaoni. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, February 27, 2014

Soma namna ambavyo Wasanii Diamond,Ally Kiba na Kala Jeremiah wanavyojibizana mitandaoni.


Hivi ndivyo alivyopost kwenye page yake jioni ya leo, "kiukweli, nasikitishwa sana jins baadhi ya wasanii kutwa wanavyolazimisha kunitengenezea ugomvi wa kilazima pasipo kuwa na sababu, mara wengine wakizusha eti Nimewatusi kwenye Media,Mara sjui Nimepost kuwakashif, yaani ilimradi tu…..

....kwanini Wanamuziki wa Tanzania Tunashindwa kubadilika... mbona mi nahangaika na muziki wangu kimpango wangu... Mnasema nyie ndio mnaojua kuimba mie sijui "sinatatizo"... Mnasema nyie ndio wenye sauti nzuri yangu mbaya "Sina tatizo"... sasa mbona tena bado mnanifatilia na kutokujua kwangu... Nafkiri ni vyema mkaanza kutumia ujuzi wenu kukuza sanaa ya nchi yetu na kuleta heshima na maendeleo nchini, kuliko kupika majungu..... Watu wanataka kazi"
HII NDIYO STATUS YA KALA JEREMIAH ALIYOWEKA FACEBOOK IKIMCHAFUA DIAMOND NA KUMSIFIA ALLY KIBA..!! SOMA  HAPA.

Kwa kitu ambacho kinaonekana si cha kawaida kwa Kala Jeremiah kuandika status kali ikiwa kama inamchafua Diamond na kumsifia Ally Kiba kwa kile kilichosemekana kuwa Ally Kiba kakopa pesa ili kumalizia ujenzi wa nyumba aliyokuwa anajenga.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad