Haya ni
mabaki ya mwili wa mmoja ya watu walikuwam kwenye Lori hilo bada ya kuteketea
kabisa na moto jana februari 19,2014 katika eneo la milima ya Sekenke mkoani Singida.
|
Wanainchi
wakiangalia Lori bada ya kuteketea kabisa na moto jana februari 19,2014 katika Bonde
la mlima Sekenke linavyoonekana na baadhi ya miti imeunguaa.
|
Wanainchi
wakiangalia Lori bada ya kuteketea kabisa na moto jana februari 19,2014 katika Bonde
la mlima Sekenke linavyoonekana na baadhi ya miti imeunguaa.
|
No comments:
Post a Comment