Tazama Picha za Ustadhi akitenganisha Kichwa na Mwili wa Mtoto Jamali huko Mbagala Charambe Jijini Dar es Salaam . - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, February 24, 2014

Tazama Picha za Ustadhi akitenganisha Kichwa na Mwili wa Mtoto Jamali huko Mbagala Charambe Jijini Dar es Salaam .

Mwili wa marehemu mtoto Jamali Salum Lipakale aliechinjwa na Ustadhi ,Mbagala Charambe mianzini ,Tukio likitokea leo februari 24,2014.

Mwili wa marehem ustadhi Mohamed Kurangwa aliemchinja mtoto ukishushwa katika hospitali ya Temeke.
Baadhi ya wakazi wakichungulia nyumba lililotokea tukio la mauaji ya kikatili.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad