![]() |
Basi la
Bunda Express lililokuwa likitokea mkoani Dodoma kwenda Jijini Mwanza asubuhi ya
leo Februari 28,2014, limegongana na Treni Eneo la Manyoni mkoani Singida.
![]() ![]() |
![]() |
Kwa mujibu
wa chanzo cha habari kutoka eneo la tukio,kinasema kuwa watu wanne wamefariki
dunia na kadhaa kujeruhiwa.
Majeruhi
Tayari wamepelekwa kwenye Hospitali ya Wilaya ya Manyoni.
|
No comments:
Post a Comment