Cheki Taswira mbalimbali za Jamii inayoishi na Mamba kama Mifugo ya Kawaida. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, February 25, 2014

Cheki Taswira mbalimbali za Jamii inayoishi na Mamba kama Mifugo ya Kawaida.

Hii ni jamii ya watu wa kijiji cha Bazoule kilichopo nje kidogo ya Mji mkuu wa Burkina Faso. Kwa mujibu wa wanahistoria, jamii hii ilianza kuishi na mamba yapata miaka 600 iliyopita.



Picha na:-Pamoja Blog.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad