Matokeo ya Oparesheni za Jeshi la Polisi mkoani Kagera katika picha. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, February 27, 2014

Matokeo ya Oparesheni za Jeshi la Polisi mkoani Kagera katika picha.

Mmoja wa makachero wa Polisi Kagera akionesha silaha ya kivita iliyokamtwa hivi karibuni wilyani Ngara mkoani Kagera.

Baadhi ya risasi na unga unaotumiwa na majangili kuua tembo kwa kuuchnganya na vifaa vingine.
Muonekano wa Noti bandia zilizokamtwa mjini Bukoba:-Picha na :-Harakatinews.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad