Angalia Nafasi 517 Mpya za kazi Serikalini kutoka Sekretarieti ya Ajira mwisho ni Marchi 3,2014. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, February 24, 2014

Angalia Nafasi 517 Mpya za kazi Serikalini kutoka Sekretarieti ya Ajira mwisho ni Marchi 3,2014.

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA . 
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Sekretariati ya Ajira katika Utumishi wa Umma ni chombo ambacho kimeundwa kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya mwaka 2002 kama ilivyorekebishwa na Sheria Na. 18 ya mwaka 2007 kifungu 29(1).Pamoja na kazi zingine chombo hiki kimepewa jukumu la kutangaza nafasi wazi za kazi zinazotokea katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Waajiri (Taasisi za Umma).






No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad