February 2013 - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, February 26, 2013

Inter Milan yapigwa faini ya Euro 50,000 na Kamati ya nidhamu ya Ligi Kuu nchini Italia maarufu kama Serie A kisa vitendo vya kibaguzi kwa Mario Balotelli.

Jeuri ya Fedha inapo Ongea: Wakati Wema Isaac Sepetu kafungua bonge la ofisi ya kuzalisha filamu huku Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akikamilisha mjengo wa maana uliogharimu Sh. milioni 260 .

Maofisa kutoka vyombo vya dola, Serikalini, Wanahabari, Usalama wa taifa, Takukuru na Wafanyabiashara watajwa na Bohari ya Dawa (MSD), kuwafumbia macho Wafanyabiashara wanaouza Dawa za Serikali kiholela.

Utafiti: Dk Slaa aongoza vinara tisa urais 2015.

Radio mbili Radio IMANI na Kwa NEEMA FM zimefungiwa miezi sita, na Clouds FM kupigwa faini ya Shilingi Milioni 5.

Sunday, February 24, 2013

Simba SC hoi kwa Mtibwa Sugar yagawa Pointi 6 na kubaki nafasi ya 3 kwa pointi zake 31 lakini hatarini kung’olewa na Coastal Union walio Pointi 1 nyuma .

Cheki Matokeo ya Ligi Soka Mbalimbali za Ulaya huku Manchester City , Real Madrid,FC Barcelona na Bayern Munich wakipa Pointi 3 Muhimu katika Michezo yao.

Hongera rais Kagame : Rais Paul Kagame wa Rwanda na Mke wake Bi Jeannette Kagame wakishirikiana na wananchi wa Kanyinya wilaya ya Nyarugenge kuchimba mitaro ya maji jana( Feb 23,2013).

Tazama Ajali ya Ajabu ya magari mawili,Toyota Rav 4 na Cresta iliyotokea jirani na Maktaba ya mkoa,mjini Iringa.

Kufatia Matokeo mabaya kidato cha nne 2012, Waziri Mkuu Mizengo Pinda aunda tume itakayofanya uchunguzi wa matokeo hayo.

Manchester United sasa wawa Pointi 15 mbele dhidi ya Mabingwa watetezi Manchester City baada kuichapa QPR na Ryan Giggs kupachika Bao la pili katika Mechi yake ya 999 kwa Klabu na Nchi yake.

Niyonzima wa Yanga SC aitungua Azam FC na kuifanya Timu yake kuwa kileleni mwa VPL Pointi 39 kwa Mechi 17 na Azam FC kubaki nafasi ya pili wakiwa na Pointi 36 kwa Mechi 18.

Thursday, February 21, 2013

Tazama picha za ofisi yake mpya 'Endless Fame Film' iliyoitambulisha rasmi na inatarajia kuanza kazi mwezi wa tatu mwaka huu..

Utafiti: D’Salaam yaongoza kwa vitendo vya kikatili kwa kuwa na asilimia 46 ambayo ni zaidi na kiwango cha ukatili huo nchi nzima ambacho ni asilimia 44.

Kuanzia sasa kazi ya kuandikisha wanafunzi kuanza madarasa ya awali na yale ya msingi, itafanywa na watendaji wa vijiji na si Walimu wakuu wa shule za Msingi Nchini.

FC Barcelona hoi San Siro dhidi ya AC Milan ,Je Nani kuvuka robo fainali katika Marudiano ya Timu 16 Bora UEFA.

Rais Mwai Kibaki wa Kenya na ziara ya kiserikali ya siku mbili Nchini.

Monday, February 18, 2013

MATOKEO:Kidato cha Nne 2012 - MURUSAGAMBA,MURUVYAGIRA,MURUGWANZA,ANDERLEK RIDGES,KAKONKO,BISHOP MPANGO Sekondari.

MATOKEO:Kidato cha Nne 2012 Rusumo na Baramba Girls Sekondari.

MATOKEO:Kidato cha Nne 2012 Mchungaji Mwema Sekondari.

MATOKEO:Kidato cha Nne 2012 Kabanga Sekondari.

MATOKEO"Kidato cha Nne Ngara Sekondari 2012-Yote.

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) sasa kinakamata nafasi ya sita katika Vyuo Vikuu 100 bora vya Afrika.

HAYA NDIO:Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne 2012.

Post Bottom Ad