Pichani)
Ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya
Dawa (MSD), Bw.Cosmas Mwaifwani akielezea kuhusu utendaji wa bohari hiyo pamoja
na changamoto mbalimbali wanazokumbana nazo, zikiwemo za vyombo vya dola
kuwafumbia macho baadhi ya wafanyabiashara wanaouza dawa za serikali kiholela
pamoja na wanaokamatwa kwa kutorosha dawa hizo nje ya nchi.
Taasisi
zilizomwagiwa lawama hizo ni baadhi ya maofisa kutoka vyombo vya dola,
serikalini, wanahabari, usalama wa taifa, Takukuru na wafanyabiashara.
Bw.Mwaifwani alidokeza hayo wakati wa
Kongamano la Nane la Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) la kujadili tafiti
z\ilizofanywa na wanahabari kuhusu matumizi ya fedha zinazochangwa na wananchi
kwa ajli ya masuala ya afya katika halmashauri 26 nchini.
 |
Meneja
wa Ufuatliaji wa Mipango Kazi na Mpango Mkakati wa Bohari ya Dawa (MSD),
Cosmas Nalimi akielezea jinsi MSD ilivyojidhatiti kuboresha huduma nchini,
wakati wa Kongamano la Nane la Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) la
kujadili tafiti z\ilizofanywa na wanahabari kuhusu matumizi ya fedha
zinazochangwa na wananchi kwa ajli ya masuala ya afya katika halmashauri 26
nchini.
Kongamano hilo lilifanyika mwishoni mwa wiki
mjini Mtwara. Baadhi ya dawa za msd inadaiwa zinauzwa nje ya nchini ikiwemo
Cameroon.
|
 |
Msajili
wa Baraza la Pharmacy Tanzania, Dk. Midred Kinyara, akielezea mikakati ya
usajili wa maduka ya dawa baridi vijijini wakati wa kongamano hilo.-- Picha
Na:Kamanda wa Matukio Blog.
|
No comments:
Post a Comment