![]() |
Swansea City |
Hadi
mapumziko, Swansea walikuwa mbele kwa Bao 2-0 kwa Bao za Nathan Dyer na Michu
na Kipindi cha Pili kilipoanza tu, Dyer akapiga Bao la 3 na hilo likiwa Bao
lake la pili.
Kipa wa
Brdofrd, Matt Duke, alipewa Kadi Nyekundu kwa kumwangusha Jonathan De Guzman
katika Dakika ya 58 na Guzman akafunga Bao la 4 kwa Penati iliyotolewa kwa kosa
hilo.
Katika
Dakika ya 91, Guzman alipachika Bao la 5 kwa Swansea na kuifanya Klabu yake
ipate ushindi mkubwa kabisa katika historia ya Mashindano hayo na kuupiku ule wa 4-0
Manchester United ilipoitwanga Wigan Mwaka 1996.
Kwa kutwaa
CAPITAL ONE CUP, Swansea City watacheza EUROPA LIGI Msimu ujao.
Aidha Washindi CAPITAL ONE CUP ,kombe ambalo zamani likiitwa CARLING CUPLIGI CUP waliopita ni Pamoja na :-
1961 Aston
Villa 0–2
1963
Birmingham City
1964
Leicester City
1965 Chelsea
1966 West
Bromwich Albion
1967 Queens
Park Rangers
1968 Leeds
United
1969 Swindon
Town
1970
Manchester City
1971
Tottenham Hotspur
1972 Stoke
City
1973
Tottenham Hotspur
1974
Wolverhampton Wanderers
1975 Aston
Villa
1976
Manchester City
1977 Aston
Villa
1978
Nottingham Forest
1979
Nottingham Forest
1980
Wolverhampton Wanderers
1981
Liverpool
1982
Liverpool
1983
Liverpool
1984
Liverpool
1985 Norwich
City
1986 Oxford
United
1987 Arsenal
1988 Luton
Town
1989
Nottingham Forest
1990
Nottingham Forest
1991
Sheffield Wednesday
1992
Manchester United
1993 Arsenal
1994 Aston
Villa
1995
Liverpool
1996 Aston
Villa
1997
Leicester City
1998 Chelsea
1999
Tottenham Hotspur
2000
Leicester City
2001
Liverpool
2002
Blackburn Rovers
2003
Liverpool
2004
Middlesbrough
2005 Chelsea
2006
Manchester United
2007 Chelsea
2008
Tottenham Hotspur
2009
Manchester United
2010
Manchester United
2011
Birmingham City
2012
Liverpool
No comments:
Post a Comment