Rais Mwai Kibaki wa Kenya na ziara ya kiserikali ya siku mbili Nchini. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, February 21, 2013

Rais Mwai Kibaki wa Kenya na ziara ya kiserikali ya siku mbili Nchini.


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais Mwai Kibaki wa Kenya muda mfupi baaada ya kuwasili katika uwanja wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere kwa ziara ya kiserikali ya siku mbili.


Rais Mwai kibaki wa Kenya akikaribishwa  kwa maua na Mwanafunzi Tazmina Rasul(6) muda mfupi baada ya kuwasili nchini kwa ziara ya kiserikali(State Visit) ya siku mbili huku mwenyeji wake Rais Dkt.Jakaya Kikwete akiangalia(picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad