![]() |
| Man United |
Manchester
United leo wakicheza ugenini Uwanja wa Loftus Road wameifunga Timu ya mkiani
QPR Bao 2-0 na kufungua pengo la Pointi 15 mbele ya Mabingwa watetezi Man City
walio nafasi 3 ambao kesho Jumapili wanaivaa Chelsea ambao wako nafasi ya 3
Pointi 19 nyuma ya Man United.
Bao la
kwanza la Man United lilifungwa katika Dakika ya 23 na Rafael kwa kigongo
kikali nje ya boksi kilichomshinda Mbrazil mwenzake Kipa Cesar.
Bao la Giggs
lilifungwa katika Dakika ya 80 baada ya ushirikiano mwema na wenzake na Danny
Welbeck kumpenyezea pande tamu na kumalizia.
Katika
Dakika ya 41 Staa wa Man United, Robin van Persie, alilazimika kutolewa baada
kujikwaa na Kamera pembeni mwa Uwanja na nafasi yake kuchukuliwa na Wellbeck.
MATOKEO
Jumamosi
Februari 23
![]() |
|
Cazorla
Dakika ya 6 & 85
|
Fulham 1
Stoke City 0
Arsenal 2
Aston Villa 1
Norwich City
2 Everton 1
Queens Park
Rangers 0 Manchester United 2
Reading 0
Wigan Athletic 3
West
Bromwich Albion 2 Sunderland 1
Jumapili
Februari 24
[Saa 10 na
Nusu Jioni]
Manchester
City v Chelsea
Newcastle
United v Southampton
Jumatatu
Februari 25
[Saa 5
Usiku]
West Ham
United v Tottenham Hotspur







No comments:
Post a Comment