![]() |
Papa John
Paul II (1978–2005): Miaka 26, Miezi 5
na Siku 18 (Siku 9,665).
|
WALIOKAA
MUDA MREFU ZAIDI:
1. Pius IX (1846–1878): Miaka 31, Miezi 7 na Siku 23 (Siku 11,560).
2. John Paul II (1978–2005): Miaka 26, Miezi 5
na Siku 18 (Siku 9,665).
3. Leo XIII (1878–1903): Miaka 25, Miezi 5 na
Siku 1 (Siku 9,281).
4. Pius VI (1775–1799): Miaka 24, Miezi 6 na
Siku 15 (Siku 8,962).
5. Adrian I (772–795): Miaka 23, Miezi 10 na
Siku 25 (Siku 8,729).
6. Pius VII (1800–1823): Miaka 23, Miezi 5 na
Siku 7 (Siku 8,560).
7. Alexander III (1159–1181): Miaka 21, Miezi
11 na Siku 24 (Siku 8,029).
8. St. Sylvester I (314–335): Miaka 21, Miezi
11 na Siku 1 (Siku 8,005).
9. St. Leo I (440–461): Miaka 21, Mwezi 1 na
Siku 13 (Siku 7,713).
10. Urban VIII (1623–1644): Miaka 20, Miezi 11
na Siku 24 (Siku 7,664).
![]() |
Papa John
Paul I (Agosti 26-Sep 28, 1978): Siku 33.
|
WALIOKAA
MUDA MFUPI ZAIDI:
1. Urban VII (Septemba 15-27, 1590): Siku 13
2. Boniface VI (Aprili 896): Siku 16
3. Celestine IV (Okt 25-Nov 10, 1241): Siku 17
4. Theodore II (Des 897): Siku 20
5. Sisinnius (Jan 15-Feb 4, 708): Siku 21
6. Marcellus II (Apr 9-Mei 1, 1555): Siku 22
7. Damasus II (Jul 17-Agosti 9, 1048): Siku 24
8. Pius III (Sep 22-Oct 18, 1503): Siku 27
9. Leo XI (Apr 1-27, 1605): Siku 27
10. Benedict V (Mei 22-Juni 23, 964): Siku 33
11. John Paul I (Agosti 26-Sep 28, 1978): Siku 33
Chanzo: Wikipedia
org.
No comments:
Post a Comment