Niyonzima wa Yanga SC aitungua Azam FC na kuifanya Timu yake kuwa kileleni mwa VPL Pointi 39 kwa Mechi 17 na Azam FC kubaki nafasi ya pili wakiwa na Pointi 36 kwa Mechi 18. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, February 24, 2013

Niyonzima wa Yanga SC aitungua Azam FC na kuifanya Timu yake kuwa kileleni mwa VPL Pointi 39 kwa Mechi 17 na Azam FC kubaki nafasi ya pili wakiwa na Pointi 36 kwa Mechi 18.


Haruna Niyonzima
Mchezaji Kiungo wa kimataifa wa Yanga SC  Haruna Niyonzima '' ameifungia timu yake bao Moja muhimu na kuifanya Yanga SC kuzidi kujiimarisha  katika kilelele cha ligi kuu bara baada ya kuifungia  timu ya Azam FC katika mchezo  wa Ligi kuu soka Vodacom uliofanyika kwenye uwanja wa Taifa.


 

Licha ya Azam FC kuonekana na uchu mkubwa wa kutaka kuendeleza ubabe wao kwa Yanga SC kama walivyofanya kwenye mzunguko wa kwanza, walishindwa kufua dafu baada ya kukutana na ukuta madhubuti wa Yanga.



Kwa ushindi huo Yanga SC imefikisha Pointi 39 kwa Mechi 17 na Azam FC  kubaki nafasi ya pili wakiwa na Pointi 36 kwa Mechi 18.



Kesho Simba, ambao wakiwa nafasi ya 3 na wenye Pointi 31 kwa Mechi 17, wapo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kucheza na Mtibwa Sugar.




Matokeo ya Michezo Mingine ni  Mgambo  JKT  bao 1 na  JKT Ruvu  0 huku Tanzania Prisons wakitoka sare ya 0 – 0 na Polisi Moro.
 





Jumatano Februari 27





Coastal Union  v Ruvu Shooting

Yanga v Kagera Sugar

Polisi Moro v Mgambo JKT 

JKT Ruvu v Toto Africans

Mtibwa Sugar v Tanzania  Prisons


MSIMAMO


NA
TIMU
P
W
D
L
GD
PTS
1
Yanga SC
17
12
3
2
22
39
2
Azam  FC
18
11
3
4
16
36
3
Simba SC
17
8
7
2
12
31
4
Coastal
17
8
6
3
6
30
5
Ruvu Shooting
15
7
3
5
3
24
6
Kagera Sugar
16
6
6
4
2
24
7
Mtibwa Sugar
16
6
5
5
2
23
8
JKT Oljoro
17
5
6
6
-1
21
10
Mgambo Shooting
17
6
3
8
-5
21
9
Prisons
18
4
7
7
-5
19
11
JKT Ruvu
17
4
4
9
-13
16
12
Toto Africans
17
2
7
8
-11
13
13
Lyon
17
3
3
11
-18
12
14
Polisi Moro
16
2
5
9
-10
11
 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad