August 2013 - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, August 29, 2013

Tazama Taswira ya Kumbukumbu ya miaka 50 ya Dr. Martin Luther King Jr. jijini Washington.

Mchezaji wa Bayern Munich Franck Ribery atwaa Tuzo ya UEFA ya Mchezaji Bora Ulaya kwa Msimu wa 2012/13 na kuwabwaga Lionel Messi na Cristiano Ronaldo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Jakaya Mrisho Kikwete ateua mkuu mpya wa Idara ya Uhamiaji Nchini.

Soma :Droo ya kupanga Makundi ya Champions League 2013/2014 ilivyokamilika na Makundi 8 ya Timu 4 kila moja yamepatikana.

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, TCRA yavifungulia vituo vya utangazaji vya Radio Imaan na Kwa Neema FM Radio vilivyokuwa vimefungiwa kwa miezi sita.

Ajali yaua watu 13 katika ajali mbaya iliyotokea kijiji cha Ngongwa mkoani Shinyanga.

Saturday, August 24, 2013

Yanga SC yaanza Ligi kwa Kishindo cha 5-1 huku Arsenal ikiamka kwa kuiburuza Fulham 3-1 kwao.

Tazama hali halisi ya Uboreshaji Elimu wilayani Ngara mkoani Kagera ilivyo bado ni Changamoto.

Picha za tukio la Wananchi kuchoma na kupiga mawe basi baada ya Basi hilo kuua mtu wilayani Mkalama mkoa wa Singida.

Ndama wa ajabu amezaliwa nchini New Zealand akiwa na miguu 8,Miili miwili,masikio manne na Kichwa kimoja.

Taswira ya ndege iliyotua kwenye Ziwa Manyara baada ya kupata hitilafu.

Soma Ratiba ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) msimu wa 2013/2014 inaanza kutimua vumbi Leo (Agosti 24 mwaka huu) katika viwanja saba tofauti.

Wednesday, August 21, 2013

Viwanja 10 vitakavyotumika Ligi Kuu Tanzania Bara 2013/14 inayotarajiwa kuanza Agosti 24.

Zaidi ya Raia Elfu 10 wa Kigeni waliokuwa wakiishi kinyume cha Sheria wamepokelewa nchini Rwanda,Burundi,Uganda na DRC wakitokea nchini Tanzania.

Tazama Picha za ajari Rusumo border gari aina ya puling Kuligonga gari aina ya Fuso na kutumbukia Bondeni.

Taswira ya Msafara wa Mwenge wa Uhuru ulivyopata Ajali huko katika kijiji cha Fufu, Kata ya Fufu, Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma.

Kampuni ya Vodacom yakabidhi vifaa kwa timu 14 shiriki za ligi kuu Tanzania bara 2013/2014.

Post Bottom Ad