Mwalimu wa Dansi Uingereza Afunga Ndoa,Asimamiwa Na Wasimamizi 80. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET

Post Top Ad

Friday, August 16, 2013

Mwalimu wa Dansi Uingereza Afunga Ndoa,Asimamiwa Na Wasimamizi 80.

Mwalimu wa chuo cha kufundisha kucheza ngoma cha Boogie Katie Shoes Dance Academy cha huko katika Mji wa Harwich, Essex,nchini Uingereza Katie Dalby amefunga ndoa na kusimamiwa na wasimamizi 80 ambao ni wanafunzi wake.

  Juu na Chini ni Wasimamizi  ambao wanaonekana walivaa sare ya magauni yenye rangi ya pink na viatu nyeupe.

Sherehe hiyo ilihudhuliwa na wanafunzi wote wa chuo hicho pamoja na dada yake bi harusi,mpwa wake na rafiki yake kipenzi.

Mwalimu wa chuo cha kufundisha kucheza ngoma cha Boogie Katie Shoes Dance Academy cha huko katika Mji wa Harwich, Essex,nchini Uingereza Katie Dalby amefunga ndoa na kusimamiwa na wasimamizi 80 ambao ni wanafunzi wake.

Mwalimu huyo mwenye umri wa miaka 26 amefunga ndoa na mumewe Fireman Norman Gooch mwenye umri wa miaka 37 ambaye ni mwanajeshi.

Sherehe hiyo ilihudhuliwa na wanafunzi wote wa chuo hicho pamoja na dada yake bi harusi,mpwa wake na rafiki yake kipenzi.

Niliwaambia wanafunzi wangu kuwa nafunga ndoa na walifurahi sana kila mtu alikuwa na msisimko wa ajabu,baadhi yao walikuwa wakiniuliza ni lini ningefunga ndoa’alisema Miss Dalby.

Ambapo wasimamizi walivaa sare magauni yenye rangi ya pink na viatu nyeupe.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad