VIDEO:Mabingwa watetezi wa taji la klabu Bingwa barani Bayern Munich watwaa ubingwa wa taji la UEFA Super Cup. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, August 31, 2013

VIDEO:Mabingwa watetezi wa taji la klabu Bingwa barani Bayern Munich watwaa ubingwa wa taji la UEFA Super Cup.




Bayern Munich 2-2 Chelsea (5-4 on pens): Lukaku miss hands Guardiola's men the spoils-Javi Martinez struck a dramatic equaliser in the last seconds of extra time to force the game to spot kicks, with Manuel Neuer saving Romelu Lukaku's decisive penalty.

For you | Ribery dedicated his "goal against Mourinho" to his boss.


Bayern Munich clinched UEFA Super Cup victory over Chelsea on penalties after a thrilling 2-2 draw at the Eden Arena in Prague on Friday(29,Agost 2013).
Mabingwa watetezi wa taji la klabu bingwa barani Ulaya Bayern Munich ya Ujerumani wameibuka na ushindi wa taji la UEFA Super Cup baada ya kupata ushindi wa mabao 5-4 dhidi ya wapinzani wao mabingwa watetezi wa ligi ya Europa Chelsea kutoka nchini Uingereza.

Bayern iling'ara katika mchuano huo wa fainali uliopigwa usiku wa ijumaa kupitia mikwaju ya penati baada ya mtanange huo kumalizika kwa sare ya mabao 2-2 katika dakika za nyongeza.


Bayern Munich clinched UEFA Super Cup victory over Chelsea on penalties after a thrilling 2-2 draw at the Eden Arena in Prague on Friday(29,Agost 2013).



Kiungo wa kati wa Chelsea Ramires alitolewa nje katika dakika ya 85 baada ya kupigwa kadi ya njano mara mbili hivyo kupelekea kikosi cha Mourinho kubakia na wachezaji 10 pekee.

Dakika tisini za awali zilitamatika kwa sare ya bao 1-1.

Mkwaju ya penati ililazimika kupigwa baada ya Javi Martinez wa Bayern kupachika bao katika dakika za lala salama hivyo kufanya sare ya mabao 2-2 katika dakika ya 121.

Ushindi huo umekuwa ni faraja kubwa kwa Guardiola aliyechukua jukumu la kuinoa Bayern mwezi June mwaka huu akitokea Barcelona ambapo aliiwezesha kuibuka na jumla ya mataji 14 katika miaka yake minne ya kukinoa kikosi hicho.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad