Soma :Droo ya kupanga Makundi ya Champions League 2013/2014 ilivyokamilika na Makundi 8 ya Timu 4 kila moja yamepatikana. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, August 29, 2013

Soma :Droo ya kupanga Makundi ya Champions League 2013/2014 ilivyokamilika na Makundi 8 ya Timu 4 kila moja yamepatikana.




Bingwa Mtetezi UEFA

Bayern Munich.
DROO ya kupanga Makundi ya UEFA CHAMPIONZ LIGI imefanyika leo huko Monaco na Makundi 8 ya Timu 4 kila moja yamepatikana ambapo Timu zitacheza Mechi za Nyumbani na Ugenini kuanzia Septemba 17.

Washindi wawili wa juu wa kila Kundi watasonga kuingia hatua ya pili ambayo ni Raundi ya Mtoano ya Timu 16.

Fainali ya Mashindano haya makubwa kabisa ya Vilabu Barani Ulaya itachezwa Mwakani hapo Mei 24 huko Estádio da Luz, Lisbon, Portugal.

DROO YA MAKUNDI:

KUNDI A: 
-Manchester United
-Shakhtar Donetsk
-Bayer Leverkusen
-Real Sociedad:


KUNDI B:
-Real Madrid
-Juventus
-Galatasaray
-FC Copenhagen

KUNDI C:
-Benfica
-Paris St-Germain
­-Olympiakos
-Anderlecht:

KUNDI D:
-Bayern Munich
-CSKA Moscow
-Manchester City
­Viktoria Plzen


KUNDI E:
-Chelsea
-Schalke
-FC Basel
­-Steaua Bucharest

KUNDI F:
-Arsenal
-Marseille
-Borussia Dortmund
-Napoli

KUNDI G:
-Porto
-Atletico Madrid
-Zenit st Petersburg
-FC Austria Vienna:


KUNDI H:
-Barcelona
-AC Milan
-Ajax
-Celtic

STEJI ZA  UEFA Champions League 2013/14:

MAKUNDI:

Siku ya Mechi ya 1: 17/18 Septemba

Siku ya Mechi ya 2: 1/2 Oktoba

Siku ya Mechi ya 3: 22/23 Oktoba

Siku ya Mechi ya 4: 5/6 Novemba

Siku ya Mechi ya 5: 26/27 Novemba

Siku ya Mechi ya 6: 10/11 Desemba.

-RAUNDI YA MTOANO YA TIMU 16
-ROBO FAINALI
-NUSU FAINALI
-FAINALI
[24 Mei 2014 Estádio da Luz, Lisbon, Portugal]

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad