![]() |
Dar es
Salaam derby kati ya Azam FC ambao walikuwa wenyeji wa mchezo wa leo December
12,2015 dhidi ya ‘mnyama mnyamani’ Simba SC imemalizika kwa sare ya kufungana magoli 2 - 2 katika
mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara 2015/2016 kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es
Salaam.
Matokeo
hayo, yanaifanya kila timu ijiongezee pointi moja, Azam FC ikifikisha 26 na
Simba SC ikitimiza 22 baada ya timu zote kucheza mechi 10.
Azam FC
inaendelea kuwa kileleni baada ya Yanga SC nayo kulazimishwa sare ya 0-0 na
Mgambo JKT Uwanja wa Mkwakwani, Tanga jioni ya leo hivyo kufikisha pointi 24,
wakati Simba SC ikibaki nafasi ya nne.
Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp . |
Post Top Ad
Saturday, December 12, 2015

VPL 2015/2016:-Tazama Matokeo yote ya Ligi Kuu Bara leo hii December 12,2015.
Tags
# MICHEZO
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.
Makala Inayofuata
TAZAMA PICHA:-Rais Magufuli awaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri Ikulu Dar, leo December 12,2015.
Makala Iliyopita
VPL – 2015/2016:-Azam FC v Simba SC na Mgambo JKT v Yanga SC kesho December 12,2015.
Luka Modric Mchezaji Bora Ulaya 2017/2018, Ronaldo Mshambuliaji Bora.
AnonymousAug 31, 2018Azam na Yanga zaibuka na Ushindi Ligi Kuu Tanzania Bara.
AnonymousAug 24, 2018Shule 18 za Sekondari Ngara zapokea Vifaa vya Michezo kutoka Coca Cola.
AnonymousAug 03, 2018
Labels:
MICHEZO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment