Shule 18 za Sekondari Ngara zapokea Vifaa vya Michezo kutoka Coca Cola. - Mwana Wa Makonda
cV7ufzj

Muhtasari

X-BET

MAIN-

Post Top Ad

cV7ufzj

Friday, August 03, 2018

demo-image

Shule 18 za Sekondari Ngara zapokea Vifaa vya Michezo kutoka Coca Cola.

.com/simgad/
38241953_227039234806396_6297290700186714112_n
Jumla ya Shule 18 za Sekondari wilayani Ngara mkoani Kagera zimepata Vifaa vya Michezo vitakavyosaidia kuleta maendeleo ya michezo katika shule zao. 

Vifaa hivyo vilivyotolewa na Kampuni ya Vinywaji baridi ya Coca-Cola ni pamoja na Jezi seti moja kwa wavulana na wasichana, mpira wa soka na kikapu mmoja kwa kila shule. 
Mbunge wa Jimbo la Ngara Mhe.Alex Gashaza amekabidhi vifaa hivyo Jana August 2, 2018 katika ofisi za Idara ya ya Michezo na Utamaduni wilayani Ngara, hafla iliyohudhuriwa pia na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngara Mhe Erik Nkilamachumu na Wakuu wa Shule zote 18 za Sekondari.
38404398_227039444806375_1147237265714446336_n
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngara Mhe Erik Nkilamachumu pichani kushoto akikabidhi Vifaa vya Michezo kwa Wakuu wa Shule ya Sekondari Rhec na Bukiriro.
38182001_227039291473057_3952407288655904768_n
Mkuu wa Shule ya Sekondari Ntobeye akionesha Jezi baada ya Shule yake kukabidhiwa Jezi seti moja ya wavulana na wasichana pamoja na mipira miwili wa mchezo wa soka na netball.
38204163_227039428139710_3632901059438968832_n
Afisa Elimu Sekondari wilaya ya Ngara mkoani Kagera Bw. Marton katikati akikabidhi Vifaa vya Michezo kwa Wakuu wa Shule ya Kabanga na Muyenzi leo hii August 2/2018.
38273594_227039338139719_5157622446748073984_n

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Contact Form

Name

Email *

Message *