Shirika la Ndege la Tanzania Laanza Safari za Afrika Kusini Leo 28/06/2019. - Mwana Wa Makonda
cV7ufzj

Muhtasari

X-BET

MAIN-

Post Top Ad

cV7ufzj

Friday, June 28, 2019

demo-image

Shirika la Ndege la Tanzania Laanza Safari za Afrika Kusini Leo 28/06/2019.

.com/simgad/
5
Muonekano wa Ndege ya Abiria ya Shirika la Ndege la Tanzania ATCL aina na Airbus A220-300 ikipakia abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam kabla ya kuondoka kuanza safari yake ya kwanza ya kuelekea nchini Afrika Kusini leo tarehe 28/06/2019.
 1
2
Ndege ya Abiria ya Shirika la Ndege la Tanzania ATCL aina na Airbus A220-300 ikiruka kuelekea nchini Afrika Kusini leo tarehe 28/06/2019 ikiwa ni uzinduzi wa Safari yake ya kwanza kwenda nchini humo. 

Picha na IKULU.

 3

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Contact Form

Name

Email *

Message *