Ligi Kuu ya Uingereza 2013/2014 haya ndio matokeo yake kwa Arsenal, Chelsea na Manchester City kuzidi kufukuzana kileleni mwa Msimamo. - Mwana Wa Makonda
cV7ufzj

Muhtasari

X-BET

MAIN-

Post Top Ad

cV7ufzj

Wednesday, January 01, 2014

demo-image

Ligi Kuu ya Uingereza 2013/2014 haya ndio matokeo yake kwa Arsenal, Chelsea na Manchester City kuzidi kufukuzana kileleni mwa Msimamo.

.com/simgad/
article-2531787-1A5E514900000578-130_634x422
Yaya Toure akiifungia Manchester City bao muhimu leo Uwanja wa Liberty  na kuifanya Klabu yake ya Manchester City imeanza vyema mwaka 2014 baada ya mabao ya kipindi cha pili ya Yaya Toure na Aleksandar Kolarov kuwapa ushindi wa 3-2 dhidi ya Swansea huo ukiwa ushindi wa tano mfululizo katika Ligi Kuu ya Uingereza 2013/2014 huku Mchezaji Fernandinho aliifungia City bao la kuongoza, kabla ya Wilfried Bony kuisawazuishia Swansea dakika ya mwisho kipindi cha kwanza.



Lakini Toure akwafungia wageni bao la pili hilo likiwa bao lake la 12 la msimu na Kolarov akafunga la tatu kwa jithada binafsi kabla ya Bony kuifungia tena Swansea. 

Ushindi huo unaifanya City itimize pointi 44 baada ya kucheza mechi 20.


     Swansea 2 - 3 Man City
    Arsenal 2 - 0 Cardiff
    Crystal Palace 1 - 1 Norwich
    Fulham 2 - 1 West Ham
    Liverpool 2 - 0 Hull
    Southampton 0 - 3 Chelsea
    Stoke 1 - 1 Everton
    Sunderland 0 - 1 Aston Villa
    West Brom 1 - 0 Newcastle
    Man Utd 0 - 1 Tottenham 
 

League Table 2013/2014


Position Team Played Goal Difference Points
1 Arsenal 20 21 45
2 Man City 20 34 44
3 Chelsea 20 19 43
4 Liverpool 20 23 39
5 Everton 20 13 38
6 Man Utd 19 10 34
7 Tottenham 19 -2 34
8 Newcastle 20 4 33
9 Southampton 20 3 27
10 Hull 20 -3 23
11 Aston Villa 20 -6 23
12 Stoke 20 -11 22
13 Swansea 20 -2 21
14 West Brom 20 -4 21
15 Norwich 20 -16 20
16 Fulham 20 -21 19
17 Cardiff 20 -17 18
18 Crystal Palace 20 -16 17
19 West Ham 20 -11 15
20 Sunderland 20 -18 14


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Contact Form

Name

Email *

Message *