Edina Charles kutoka Mjini Ngara ndie Miss Ngara 2013/2014. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, January 01, 2014

Edina Charles kutoka Mjini Ngara ndie Miss Ngara 2013/2014.

Miss Ngara 2013/2014.. Edina Charles kutoka Mjini Ngara akiwa katika picha ya pamoja mshindi wa Pili Leah Willias kutoka kabanga na Mary Alfonsi mshindi wa tatu kutoka Nakatunga,katika shindano la Miss Ngara lililofanyika usiku wa Desemba 31,2013 katika ukumbi wa New Happy Club Mjini Ngara,mkoani Kagera….Mshindi wa kwanza aliondoka na zawadi ya seti ya vyombo vya saluni ya kike,wapili Jokofu na watatu Cherehani.

Tano bora ya shindano la Miss Ngara lililofanyika usiku wa Desemba 31,2013 katika ukumbi wa new Happy Club Mjini Ngara,mkoani Kagera.
Washiriki walipata fursa ya kupita na vazi la ubunifu jukwaani ,katika shindano la Miss Ngara lililofanyika usiku wa Desemba 31,2013 katika ukumbi wa new Happy Club Mjini Ngara.
Ni washereheshaji wa  shindano la Miss Ngara 2013/2014 lililofanyika usiku wa Desemba 31,2013 katika ukumbi wa new Happy Club Mjini Ngara.
Miss Ngara 2013/2014.. burudani pia haikukosa  katika ukumbi wa new Happy Club Mjini Ngara.
Mgeni rasmi katika Miss Ngara 2013/2014.. alikuwa ni Mkuu wa wilaya ya Ngara mkoani Kagera Bw.Costantine Kanyasu..
Kutoka kulia ni Afisa utamaduni wilaya ya Ngara Salum bakari na Afisa Michezo wilaya Saidi Salumu wakifatilia kwa ukaribu shindano hilo la Miss Ngara 2013/2014.. lililofanyika usiku wa Desemba 31,2013 katika ukumbi wa new Happy Club Mjini Ngara,mkoani Kagera….Mshindi wa kwanza aliondoka na zawadi ya seti ya vyombo vya saluni ya kike,wapili Jokofu na watatu Cherehani.
Wadau mbalimbali wakifatilia shindano hilo la Miss Ngara 2013/2014..  lililofanyika usiku wa Desemba 31,2013 katika ukumbi wa new Happy Club Mjini Ngara.
Majaji wetu wa Miss Ngara 2013/2014..  kutoka kushoto ni Jaji Venanti Veredian,Winnie Camilius Ruhinda na Jaji Eliud Ruzige ambapo walimchagua Edina Charles kutoka Mjini Ngara  kuwa Miss Ngara ,katika shindano la Miss Ngara lililofanyika usiku wa Desemba 31,2013 katika ukumbi wa new Happy Club Mjini Ngara.
Miss Ngara 2013/2014.. Edina Charles kutoka Mjini Ngara akiondoka na zawadi ya seti ya vyombo vya saluni ya kike.
Miss Ngara 2013/2014..  mshindi wa Pili Leah Willias kutoka kabanga na Mary Alfonsi mshindi wa tatu kutoka Nakatunga,katika shindano la Miss Ngara lililofanyika usiku wa Desemba 31,2013 katika ukumbi wa new Happy Club Mjini Ngara,mkoani Kagera….waliondoka na zawadi yaili Jokofu na watatu Cherehani.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad