![]() |
|
Moja kati ya
gari lililokuwa kwenye msafara wa Mwenge wa Uhuru 2018 linalomilikiwa na Shirika
la Viwanda Vidogo nchini (Sido) Mkoani Kagera limeacha njia wakati wa mbio za
Mwenge huo Manispaa ya Bukoba eneo la
Kyamnene.
Hali hiyo
ilisababishwa na mvua zinazonyesha katika Manispaa hiyo April 9, 2018 na
kusababisha kuteleza kutokana na utelezi kisha kwenda pembezoni mwa barabara na kuzuiliwa na
jiwe kubwa lisiendelee kushuka bondeni, waliokuwemo wametoka salama.
![]() |








No comments:
Post a Comment