Man City na Kibarua kigumu dhidi ya Liverpool katika uwanja wa Etihad. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, April 05, 2018

Man City na Kibarua kigumu dhidi ya Liverpool katika uwanja wa Etihad.

Mchezaji Mohamed Salah (kushoto) na wachezaji wenzake (kulia) wakifurahia moja ya bao lililofungwa kwenye mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya Jana Jumatano April 4,2018 dhidi ya Manchester City  Uwanja wa Anfield na Liverpool wamefanikiwa kupata ushindi wa magoli 3-0, magoli ya Liverpool yakifungwa na Mohamed Salah dakika ya 11, Chamberlain dakika ya 21 na Sadio Mane dakika ya 31.
Ushindi huo sasa unaipa wakati mgumu Manchester City itakayoikaribisha Liverpool katika game yao ya marudiano itakayochezwa katika uwanja wa Etihad wiki zijazo, kwani Manchester  City ili apindue matokeo na kuitoa Liverpool atazimika katika mchezo wa marudiano kupata ushindi wa kuanzia magoli 4-0.


Nao FC Barcelona walipata matokeo mazuri wakiwa nyumbani Jijini Barcelona dhidi ya  AS Roma. 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad