AJALI :-Watu wawili wamekufa baada ya basi kugonga na roli leo March 17, 2015. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, March 17, 2015

AJALI :-Watu wawili wamekufa baada ya basi kugonga na roli leo March 17, 2015.

Watu wawili wamekufa katika Ajali nyingine iliyotokea leo March 17,2015 huko Mikumi , kati ya basi lenye namba za usajili T 179 CRG mali ya Fm safari linalotoka Dar es Salaam kwenda Mbeya na roli aina ya Fuso.
Tutaendelea kukujuza.

UNGANA  NASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad