Madhara
anayoyapata mwanaume anayependa mchezo huo wa kufanya Mapenzi kinyume na maumbile ni kama ifuatavyo:-
Kwanza:
Husababisha kusinyaa au kuweka makovu kwenye njia ya haja ndogo.
Pili: Njia
ya haja ndogo kuziba kiasi au kuziba kabisa.
Tatu: Kupata
saratani (kansa) ya tezi za figo (prostate gland).
Nne: Kupata
magonjwa sugu ya uti wa mgongo.
Tano:
Kuharisha.
Sita:
Maambukizi ya VVU ambapo mwisho wake ni Upungufu wa Kinga Mwilini (Ukimwi).
Saba:
Baadaye mhusika kupata msongo wa mawazo au sonona kwa kujutia tendo hilo.
Kila mwenye
tatizo aende kwenye hospitali yoyote kubwa iliyo karibu au Tiba ya kwanza ni
kuachana na mchezo huo kisha unaweza kufanya taratibu zingine za kucheki afya
yako.
No comments:
Post a Comment