tenco

DSTV

Header Banner

Picha 7 za Taswira ya Maeneo ya Mwaloni Mjini Bukoba,Mkoani Kagera.


Moja ya meza ya kuuzia Dagaa wakavu  Maeneo ya mwaloni mjini Bukoba,ambapo Wadau na Wafanyabiashara mbalimbali wamekuwa wakijipatia mahitaji yao ya Dagaa kutoka eneo hilo(Picha kwa hisani ya Bukoba wadau).Hapa ni Maeneo ya mwaloni mjini Bukoba,wadau wakiendelea kuchakalika na biashara kama tulivyomkuta mama huyu mjasiriamali akipima Debe la Dagaa wakavu.

Kwa mbali ni Muonekano wa Meli ya Mv.Victoria ikiwa Bandarini  mjini Bukoba mkoani Kagera.