UEFA 2015/2016:-Chelsea na Arsenal pwaaa ulaya leo September 30,2015 usiku kuendelea na Ratiba hii Hapa. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, September 30, 2015

UEFA 2015/2016:-Chelsea na Arsenal pwaaa ulaya leo September 30,2015 usiku kuendelea na Ratiba hii Hapa.


Ligi ya Mabingwa ulaya 2015/2016 itaendelea kutimua vumbi leo September 30,2015,usiku kwa michezo nane kuchezwa katika viwanja tofauti.

Katika kundi A Malmo FF, watakua wenyeji wa Real Madrid , Huku Shakhtar Donetsk wakipepetana na Paris St Germaini.

CSKA Moscow wao watawalika Psv wakati Manchester United, wakiwa katika uwanja wao wa nyumbani Old Trafford, kucheza na VfL Wolfsburg, ukiwa ni mchezo ya kundi B.

FC Astana watapima na ubavu na Galatasaray ya Uturuki, mchezo mwingine wa kundi hilo C utakua kati ya Atletico Madrid na Benfica.

Borussia Mönchen-gladbach wao watakua nyumbani Ujerumani kuwakaribisha Man City toka Uingereza, huku Juventus ya Italia ikicheza  na Sevilla ya Hispania.

KWENYE MECHI ZA JANA JUMANNE MATOKEO YALIKUA.

KUNDI E

Barcelona 2 – 1 Bayer Leverkusen  
           
BATE Borislov 3 – 2 AS Roma   
                
KUNDI F

Arsenal 2 – 3 Olympiakos   
       
Bayern Munich 5 – 0 Dinamo Zagreb                  

KUNDI G

FC Porto 2 – 1  Chelsea  
                
Maccabi Tel Aviv 0 – 2 Dynamo Kiev  
         
KUNDI H

Lyon 0 – 1 Valencia   
       
Zenit St Petersburg 2 – 1 KAA Gent   

Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad