JK,
akisabahiananna Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Alhaj Ali
Hassan Mwinyi, a.k.a "Mzee Rukhsa"
|
JK
akisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya
Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad.
|
JK
akisaliamiana na REais Mstaafu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Benjamin Mkapa, "Mzee wa uwazi na Ukweli"
|
JK
akisalimiana na Mama Fatma Karume, mjane wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati
Abeid Aman Karume
|
JK na Mkuu
wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Davis Mwamunyange....
Mapema
makamo wa pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi akitoa tathimini ya sherehe hizo,
amesema jumla ya miradi 50 imezinduliwa yenye thamani ya zaidi ya shilingi
milioni 165.
Sherehe hizo
zilizokuwa za aina yake ambapo Rais Shein mara alipowasili
alipogiwa mizinga 21 na kukagua gwaride la vikosi vya ulinzi na usalama
vya Jamhuri ya Mungano na badaye kulipokea gwaride la vikosi hivyo
viliyoongozwa na Luten kanali Adam ambayo vilipita kwa mwendo
wa pole pole na badaye kupita kwa mwendo wa kasi na baadaye kipitakikosi
cha makomandoo wa vita.
Sherehe hizo
za kutimiza miaka 51 zilianza usiku wa kuamkia Jumatatu Januari 12,2015 ambapo
makamu wa pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi aliongoza mamia ya waananchi katika
viwanja vya maisara ambapo fash fash zilirushwa na kuwepo kwa fataki
zilizotanda usiku huo.
UNGANANASI KATIKA FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia
tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.
|
No comments:
Post a Comment