VURUGU SOKANI:-Tazama Picha 5 Jinsi Mashabiki wa Soka mjini Mara walivyochana suti ya Mwenyekiti wa Soka Shinyanga. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, January 12, 2015

VURUGU SOKANI:-Tazama Picha 5 Jinsi Mashabiki wa Soka mjini Mara walivyochana suti ya Mwenyekiti wa Soka Shinyanga.

Mwenyekiti wa chama cha soka mkoani shinyanga(SHIREFAa)Benester Lugora),akiwa kwenye gari la polisi baada ya kuchaniwa suti yeke na mashabiki wenye hasira mkoani Mara baada ya kudaiwa kutaka kuwahonga waamuzi wa mchezo kati ya Mwadui FC ya Shinyanga na Polisi Mara katika mchezo wa ligi daraja la kwanza.

Kocha Julio akiokolewa kwa kupakiwa kwenye gari la Polisi ili asipigwe.
Mashabiki wakimzonga mwamuzi wa pambano hilo.
Wachezaji wa Mwadui FC wakitolewa na Polisi baada ya kumalizika mchezo kati yao na Polisi Mara uliomalizika kwa kufungana mabao 2-2 na kutokea kwa vurugu za mashabiki.
Picha Na:- Shomari Binda.....

UNGANANASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad