DIRISHA LA UHAMISHO JANUARI:-Wasome waliohama na Kusajiriwa Klabu za Ligi kuu Uingereza hadi sasa. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, January 12, 2015

DIRISHA LA UHAMISHO JANUARI:-Wasome waliohama na Kusajiriwa Klabu za Ligi kuu Uingereza hadi sasa.

Dirisha la Uhamisho lilifunguliwa Januari 3 na litakuwa wazi hadi Februari 02 Saa 8 Usiku, Bongo Taimu.

 PATA WACHEZAJI WALIOHAMA KLABU KWA KLABU:-**Listi hii ni ya Uhamisho uliokamilika tu!

Arsenal

WAPYA

-Hamna

WALIOHAMA

Lukas Podolski (Inter Milan) Mkopo

Matt Macey (Accrington Stanley) Mkopo

Aston Villa 

WAPYA

-Hamna

WALIOHAMA

Darren Bent (Derby County) Mkopo

Jordan Graham (Wolverhampton Wanderers) Ada Haikutajwa

Burnley

WAPYA

Michael Keane (Manchester United) Ada Haikutajwa 

WALIOHAMA

-Hamna

Chelsea 

WAPYA

-Hamna

WALIOHAMA

Fernando Torres (AC Milan) Ada Haikutajwa

Mark Schwarzer (Leicester City) Bure

Lewis Baker (Sheffield Wednesday) Mkopo

Todd Kane (Nottingham Forest) Mkopo

John Swift (Swindon) Mkopo

Alex Kiwomya (Barnsley) Mkopo

Tomas Kalas (Middlesbrough) Mkopo

Crystal Palace 

WAPYA

-Hamna

WALIOHAMA

Andrew Johnson Ameachwa Huru

Everton 

WAPYA

WALIOHAMA

Hallam Hope (Bury) Ada Haikutajwa

Mason Springthorpe (Fleetwood Town) Mkopo

Hull City 

WAPYA

-Hamna

WALIOHAMA

Leicester City 

WAPYA

Mark Schwarzer (Chelsea) Bure 

WALIOHAMA

Jack Barmby (Rotherham United) Mkopo

Tom Hopper (Scunthorpe United) Mkopo

Callum Elder (Mansfield Town) Mkopo

Liverpool 

WAPYA

-Hamna

WALIOHAMA

Kevin Stewart (Cheltenham) Mkopo

Lloyd Jones (Cheltenham) Mkopo

Jack Dunn (Cheltenham) Mkopo

Manchester City 

WAPYA

-Hamna

WALIOHAMA

Sinan Bytyqi (SC Cambuur) Mkopo

Manchester United 

WAPYA

Victor Valdes (Mchezaji Huru) Bure 

WALIOHAMA

Ben Pearson (Barnsley) Mkopo

Michael Keane (Burnley) Ada Haikutajwa

Newcastle United 

WAPYA

-Hamna

WALIOHAMA

Hatem Ben Arfa (Nice) Bure

Queens Park Rangers 

WAPYA

Mauro Zarate (West Ham United) Mkopo 

Ryan Manning (Galway United) Bure 

WALIOHAMA

-Hamna

Southampton 

WAPYA

Eljero Elia (Werder Bremen) Mkopo

WALIOHAMA

Artur Boruc (Bournemouth) Mkopo 

Stoke City 

WAPYA

Philipp Wollscheid (Bayer Leverkusen) Mkopo 

WALIOHAMA

Ryan Shotton (Derby County) Ada Haikutajwa

George Waring (Barnsley) Mkopo

Sunderland 

WAPYA

-Hamna
 
WALIOHAMA

Scott Harrison (Hartlepool) Mkopo

Swansea City 

WAPYA

Nelson Oliveira (Benfica) Mkopo 

Matt Grimes (Exeter City) Ada Haikutajwa 

WALIOHAMA

Rory Donnelly (Tranmere Rovers) Mkopo

Tottenham Hotspur 

WAPYA

-Hamna

WALIOHAMA

-Hamna

West Bromwich Albion 

WAPYA

-Hamna

WALIOHAMA

-Hamna

West Ham United 

WAPYA

Doneil Henry (Apollon Limassol) Ada Haikutajwa 

WALIOHAMA

Mauro Zarate (Queens Park Rangers) Mkopo

Chanzo:-Sokaintanzania.
UNGANANASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad