RAHA YA SHEREHE YA MAPINDUZI ZANZIBAR JANUARI 12,1964:-Ni kazi ya Jeshi Kugangamara. - Mwana Wa Makonda
cV7ufzj

Muhtasari

X-BET

MAIN-

Post Top Ad

cV7ufzj

Monday, January 12, 2015

demo-image

RAHA YA SHEREHE YA MAPINDUZI ZANZIBAR JANUARI 12,1964:-Ni kazi ya Jeshi Kugangamara.

.com/simgad/
1
Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Ali Mohammed Shein akikagua gwaride la vikosi mbali mbali vya kijeshi wakati wa maadhimisho ya sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar,yaliyofanyika  leo Januari 12, 2015 kwenye uwanja wa Amani,Zanzibar.

2
3
4
5
MMGM0761
MMGM0824
MMGM0868
Sherehe hizo zilizokuwa za aina yake  ambapo Rais Shein  mara alipowasili alipogiwa mizinga 21 na kukagua gwaride  la vikosi vya ulinzi na usalama vya Jamhuri ya Mungano na badaye  kulipokea gwaride la vikosi hivyo  viliyoongozwa na  Luten kanali Adam ambayo vilipita  kwa mwendo wa pole pole na badaye kupita kwa mwendo wa kasi  na baadaye  kipitakikosi cha makomandoo wa vita.
MMGM0927
MMGM0955
MMGM0985
MMGM1104
MMGM1124
MMGM1158
UNGANANASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Contact Form

Name

Email *

Message *