BUYUNGU CUP 2014/2015:-Tazama Picha 4 za Jinsi Kiziguzigu FC walipokabidhiwa Kombe na Mbunge Christopher Chiza baada ya Kuwa Mabingwa October 16,2014, mjini Kakonko. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, October 17, 2014

BUYUNGU CUP 2014/2015:-Tazama Picha 4 za Jinsi Kiziguzigu FC walipokabidhiwa Kombe na Mbunge Christopher Chiza baada ya Kuwa Mabingwa October 16,2014, mjini Kakonko.

Mbunge wa Jimbo la  Buyungu wilayani Kakonko mkoani Kigoma,Mhandisi Christopher Chizza akimkabidhi Kombe na Fedha Tasilimu Nahodha wa Timu ya Kiziguzigu FC baada ya kuibuka Mabingwa wa Buyungu CUP 2014/2015  jana Alhamis ya October 16,2014 mjini kakonko.

Michuano ya Buyungu CUP 2014/2015 imefikia tamati yake hapo jana Alhamis ya October 16,2014, 16 kwa Kuzikutanisha timu ya Kiziguzigu FC dhidi ya Nyabibuye FC  na Kiziguzigu FC kuibuka Mabingwa baada ya kuitandika mabao 3-1  timu ya Nyabibuye katika mchezo huo wa fainali uliopigwa mjini kakonko


Karibu kwenye familia ya Makonda Blog na uzipokee Picha/Habari zote kwa kutumiwa Mchana /Usiku baada tu ya kujiunga kwa kubonyeza hapa mtu wangu >>>BONYEZA HAPA.>>>Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad