AJALI :- Picha 3 za Lori la Mizigo likiwa na Shehena ya Magunia ya Mahindi likianguka katika Mteremko mkali wa K9 Wilayani Ngara leo October 18, 2014. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, October 18, 2014

AJALI :- Picha 3 za Lori la Mizigo likiwa na Shehena ya Magunia ya Mahindi likianguka katika Mteremko mkali wa K9 Wilayani Ngara leo October 18, 2014.

Ajali hii imetokea leo October 18, 2014,majila ya saa 6 mchana wilayani Ngara,Mkoani Kagera katika eneo la mteremko wa K9 ambapo kwa mujibu wa mashuhuda wamesema kuwa Dereva wake amejeruhiwa na kukimbizwa Hospitali ya Murgwanza kwa matibabu zaidi.

Chanzo cha ajali hiyo kinasemwa ni kufeli kwa mfumo wa breki wa Lori hilo ambalo lilikuwa limeshehena magunia ya Mahindi.

Picha zote Na:-Mwanawamakonda WhatsApp +255789925630.

Karibu kwenye familia ya Makonda Blog na uzipokee Picha/Habari zote kwa kutumiwa Mchana /Usiku baada tu ya kujiunga kwa kubonyeza hapa mtu wangu >>>BONYEZA HAPA.>>>Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad