

![]() |
Katibu wa
Rais Ngusa Samike akiagana na Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo mara
baada ya kukabidhi fedha kiasi cha shilingi Milioni 40 kwa Mkuu wa kikosi cha
27KJ Luteni Kanali Js Mshashi kilichopo Makoko mkoani Mara.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aliahidi kutoa fedha hizo
Septemba 6,2018 alipokuwa ziara Mkoani humo kwaajili ya kuongeza Vizimba 10 vya
kufugia Samaki.
Makabidhiano hayo yamefanyika Jijini Dodoma mbele ya Mkuu wa
Majeshi Jenerali Venance Mabeyo leo Septemba 11,2018.
|
No comments:
Post a Comment