![]() |
Mabingwa wa
Soka mkoa wa Kagera-Kumuyange FC watashuka
kwenye uwanja wa WAJA kwenye mchezo wao wa May 16, 2018 dhidi ya Mabingwa wa
mkoa wa Mara –Nyamongo FC.
Mchezo wa
mapema hiyo kesho May 16 utakuwa saa 8 mchana ambapo Wenyeji Gipco FC ya Geita watawavaa Phantom FC ya Mwanza na ambao ndo vinara wa kundi hilo.
KUNDI B -RUKWA.
Kesho May 16,
2018 Tabora FC ya Tabora watacheza
saa 8 mchana na Migombani FC ya
Songwe huku saa 10 jioni Laela FC ya
Rukwa watawavaa Black Belt FC ya
Ruvuma.
Sahare all Stars ya Tanga itacheza na Uzunguni FC ya Kilimanjaro
huku jioni Karume Maketi ya
Dar es Salaam wakicheza dhidi ya Bishop ya Arusha katika mchezo wa Ligi hiyo ya
Mabingwa wa Mikoa kundi D huko mkoani
Kilimanjaro kwenye uwanja wa CCM Bomangombe .
|
Tuesday, May 15, 2018

Matokeo Ligi ya Mabingwa wa Mikoa na Ratiba May 16,2018.
Tags
# MICHEZO
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
MICHEZO
Labels:
MICHEZO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.
No comments:
Post a Comment