![]() |
Muonekano wa basi hilo baada ya Ajali.
Basi la Complex lililokuwa linatoka Dar es Salaam kwenda Mwanza, limepata ajali usiku huu maeneo ya Malendi mkoani Singida. |

![]() |
Chanzo cha
ajali bado hakijafahamika ila basi hilo limegongana uso kwa uso na Lori aina ya
Fuso na baadhi ya abiria wajeruhiwa na imeripotiwa kuna vifo.
Taarifa zaidi
tunaendelea kuwaletea.
|


No comments:
Post a Comment