
![]() |
Mwalimu mkuu wa shule hiyo Bw. Rwezahura Renard amesema kuwa mvua hiyo imeanza kunyesha majira ya usiku wa kuamkia leo May 15, 2018 hivyo wameomba Mamlaka husika kuwatengenezea daraja hilo Ili kurejesha mawasiliano na Wanafunzi waendelee kupata masomo yao. |
![]() |
Kwa upande wake Diwani wa Kata hiyo Bw. Evart Ernest amesema kuwa amelitolea taarifa kwa Mamlaka husika hivyo mpaka sasa bado utekelezaji wake na kwamba jitihada za haraka zinahitajika ili kuepusha madhara yanayoweza kujitokeza kwa Wanafunzi wanaotukia kivuko hicho. |
![]() |
Habari/Picha Na –Radio Kwizera. |
No comments:
Post a Comment