Kombe la Mapinduzi 2017 : Azam FC sasa wanasubiri kati ya Simba SC na Yanga SC Fainali. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, January 10, 2017

Kombe la Mapinduzi 2017 : Azam FC sasa wanasubiri kati ya Simba SC na Yanga SC Fainali.

Azam FC wametinga fainali ya Mashindano  ya Kombe la  Mapinduzi 2017 kwa kuichapa Taifa Jang’ombe bao 1-0. 

Mfungaji wa bao hilo ni Frank Domayo katika mechi hiyo ya Leo January 10, 2017,Jioni kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar. 

Azam FC sasa wanasubiri mshindi kati ya Simba SC na Yanga SC  ili wacheze naye fainali.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad