Madereva wa
Tanzania wanaoendesha magari ya mizigo zaidi ya 200 kuingia nchini Burundi
wameshindwa kuendelea na safari yao wakitakiwa kuonesha vibali vya kusafirisha
mizigo yao (C28) baada ya vibali walivyooonesha kukataliwa na uongozi wa
Burundi ikiwa ni siku ya tano wakiishi mpakani upande wa Tanzania.
Pichani juu na chini,Magari hayo ya mizigo yakiwa yamepaki katika mpaka wa Kabanga wilayani Ngara,mkoani Kagera unaounganisha nchi ya Tanzania na Burundi katika.
No comments:
Post a Comment