Yanga SC inaendelea kusalia katika
nafasi ya pili ikiwa na pointi zake 37 pointi moja nyuma ya Simba SC ambayo
itacheza kesho December 24 dhidi ya JKT Ruvu.
Endapo Simba SC itashinda mchezo huo
itaongeza gap la pointi hadi kuwa nne kwa sababu itakuwa imefikisha pointi 41
huku Yanga SC ikiwa na pointi 37, lakini kama Simba SC itafungwa bado
itaendelea kuongoza kwa pointi moja wakati ikitoka sare itakuwa kileleni kwa
pointi mbili.
No comments:
Post a Comment