Mkurugenzi
wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bw. Kailima Ramadhan (kushoto)
akimkaribisha Mwenyekiti mpya wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji wa
Mahakama ya Rufaa, Mhe. Jaji Semistocles Kaijage (kulia) kwenye Ofisi za Tume
zilizoko Posta jijini Dar es salaam.
|
Baadhi ya
Watumishi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wakimpokea Mwenyekiti mpya wa Tume
hiyo mara baada ya kuwasili katika Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi Posta,
jijini Dar es salaam.
|
Baadhi ya
Watumishi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wakimpokea Mwenyekiti mpya wa Tume
hiyo mara baada ya kuwasili katika Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi Posta,
jijini Dar es salaam.
|
Mwenyekiti
mpya wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Mhe. Jaji
Semistocles Kaijage (kulia) akiwa Ofisini kwake kwa mara ya kwanza mara baada
ya kuapishwa leo,December 23,2016.
Mhe. Jaji Semistocles Kaijage ameteuliwa kuongoza Tume hiyo
kwa kipindi cha miaka mitano kuanzia tarehe 20 Desemba, 2016.
|
Mwenyekiti
mpya wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Mhe. Jaji
Semistocles Kaijage (kushoto) akizungumza na Wajumbe wa Tume ya Taifa ya
Uchaguzi ofisini kwake leo.
|
No comments:
Post a Comment