Pitia Selection ya Vyuo Vikuu Kwa Walioomba Kupitia NACTE . - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, September 11, 2016

Pitia Selection ya Vyuo Vikuu Kwa Walioomba Kupitia NACTE .

Walioomba Diploma na vyeti  kupitia Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE)  wanaweza kutazama kama wamepata vyuo au la kwa kuingia kwenye mfumo wa CAS wa Nacte.
==> Bofya hapa  kuangalia   <<Selection Status >> 

NB:  Tumia username yako na password

==> Kwa wale Form six walioomba kupitia TCU, Selection zilikuwa zinaonekana kupitia   http://cas.tcu.go.tz/cas_core/check_results, lakini kwa sasa link imekuwa deactivated na wame iredirect  kwenye homepage ya CAS ya TCU ( http://cas.tcu.go.tz/)


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad