Waziri wa Nishati na Madini na Mbunge
wa Jimbo la Musoma, Mhe.Profesa Sospeter Muhongo akipokea Kitembulisho chake
cha Taifa chenye saini kwa furaha kubwa kutoka kwa Kaimu Mkuu wa Kitengo cha
Mawasiliano Na Hifadhi Hati NIDA. Bi. Rose Mdami.
|
Deo Sanga, akieleza faida ambazo
tayari ameshazipata kwa kutumia Kitambulisho chake cha Taifa. Kushoto ni Kaimu
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Hifadhi hati NIDA Bi, Rose Mdami. Mhe. Sanga
amepokea kitambulisho chake leo katika Ofisi za Bunge Dodoma
|
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania wakipata huduma kutoka kwa maafisa wa NIDA ambao wapo
bungeni hapo kutoa vitambulisho vipya kwa waheshimiwa wabunge Mjini Dodoma.
|
Mbunge wa Muheza na Mwenyekiti wa
Kamati ya ulinzi na Usalama ya Bunge Mheshimiwa Adadi Rajabu akipokea
kitambulisho chake kutoka kwa Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Hifadhi
Hati NIDA Bi. Rose Mdami katika Ofisi za Bunge Mjini Dodoma.
|
No comments:
Post a Comment