HAPA KAZI TU:- Taswira Picha Balozi Kamala Ujenzi wa chumba cha darasa Shule ya Msingi Kikukwe Kanyigo. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, March 19, 2016

HAPA KAZI TU:- Taswira Picha Balozi Kamala Ujenzi wa chumba cha darasa Shule ya Msingi Kikukwe Kanyigo.

Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala Mbunge wa Jimbo la Nkenge,mkoani Kagera akiweka jiwe la Msingi kuzindua Ujenzi wa chumba cha darasa kinachojengwa Shule ya Msingi Kikukwe Kanyigo. 

Chumba hicho kinajengwa kwa michango ya Wanakikukwe waliosoma katika shule hiyo. Balozi Kamala ametoa mifuko ishirini ya saruji kuunga mkono jitihada hizo.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad