Afisa
Uhamiaji mkoa wa Dar es Salaam, Naibu Kamishna, Johannes Msumule akizungumza
katika mkutano na Waandishi wa Habari ambapo Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi, Mhe. Hamad Yussuf Masauni alizungumzia hatua zinazochukuliwa na Wizara
kudhibiti wageni wanaoishi na kufanya kazi nchini kinyume na sheria. Mkutano
huo ulifanyika Makao Makuu ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, jijini Dar es
Salaam.
|
Sehemu ya
Waandishi wa Habari wakimsikiliza Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe.
Hamad Yussuf Masauni, wakati wa mkutano wa kuzungumzia hatua zinazochukuliwa na
Wizara kudhibiti wageni wanaoishi nchini na kufanya kazi kinyume na sheria.
Mkutano huo ulifanyika Makao Makuu ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi jijini
Dar es Salaam.
(Picha Na
Kitengo Cha Mawasiliano Ya Serikali – Wizara Ya Mambo Ya Ndani Ya Nchi).
|
No comments:
Post a Comment