Kwa matokeo
hayo Simba SC sasa itakuwa inaongoza Kundi A, ikiwa na point nne, ikifuatiwa na
URA ya Uganda wenye point tatu sawa na JKU ya Zanzibar ila URA anakuwa mbele ya
JKU kwa tofauti ya magoli wakati Jamhuri tayari imeaga mashindano hayo kutokana
na kuwa na pointi moja hadi sasa ikisubiri mechi ya mwisho ya kukamilisha
ratiba dhidi ya URA.
Kwenye
mchezo wa kwanza, Simba SC ilikutana na Jamhuri kutoka kisiwani Pemba na
kulazimishwa sare ya kufungana kwa magoli 2-2.
|
Mchezo wa
awali uliochezwa leo majira ya saa 10:15 jioni uliikutanisha JKU dhidi ya
Jamhuri ambapo Jamhuri imejikuta ikitepeta mbele ya JKU kwa kukubali kibano cha
magoli 3-0.
Simba
yenyewe itacheza mechi yake ya mwisho ya kundi A dhidi ya JKU ambapo inahitaji
sare tu ili kusonga mbele ya mashindano lakini ikiwa itapoteza mchezo huo
itasubiri matokeo ya mchezo kati ya URA
dhidi Jamhuri.
Jumanne
Januari 5,2016
Mafunzo 0 –
1 tibwa Sugar
Azam FC 1 –
1 Yanga
Jumatano
Januari 6,2016
Jamhuri 0 –
3 JKU
URA 0 – 1 Simba SC
Alhamisi
Januari 7,2016
1615 Azam FC
v Mafunzo
2015 Mtibwa
Sugar v Yanga
Ijumaa
Januari 8,2016
1615 Jamhuri
v URA
2015 Simba v
JKU
Nusu Fainali
Jumapili
Januari 10,2016
1615 Mshindi
A v Wa Pili B
2015 Mshindi
B v Wa Pili A
Fainali
Jumatano Januari
13,2016
|
No comments:
Post a Comment