Waziri
Mkuu,Kassim Majaliwa akizungumza na Madaktari na Wauguzi wa Hospitali ya Mkoa
wa Ruvuma baada ya kuitembelea akiwa katika ziara ya mkoa huo Januari 5,
2016.Kushoto ni Mkuu wa Mkoa huo, Thabiti Mwabungu na kulia ni Mbunge wa Songea
Mjini, Leonidas Gama.
|
Waziri Mkuu,
Kassim Majaliwa akisalimiana na bibi Antonia Moyo ambaye alikuwa akipata
matibabu katika chumba maalum cha waze katika hospitali ya mkoa wa Ruvuma
wakati alipoitembelea hositali hiyo akiwa katika ziara ya mkoa huo Januari 5,
2016. Kulia ni Mkuu wa Mkoa huo Thabiti Mwabungu.
|
Waziri Mkuu,
Kassim Majaliwa,akimsalimia mtoto Flora Mapunda (1) ambaye amelazwa katika
hospitali ya Mkoa wa Ruvuma ambayo
Waziri Mkuu aliitembelea na
kuzungumza na watumishi akiwa
ktika ziara ya mkoa huo Januari 5, 2016.
|
No comments:
Post a Comment